Toyota Noah 2003 FOB 3,000 CIF 5,000$ nisawa 8,000,000 kwa Rate 1600.utalipiaje toyota noah latest model ya 2002 bei gani?
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION | |
Current Retail Selling Price | 30,115 |
Depreciation | 70% |
Freight | |
Extra Depreciation | 0% |
Customs value | 4,667 |
FOB Value | 4,667 |
Import Duty 25% | 1,167 |
Excise Base | 5,833 |
Excise Duty 5% | 292 |
VAT Base | 6,125 |
VAT 18% | 1,103 |
Total Taxes | 2,561 |
Total Taxes in TSHs | 4,097,390 |
kama bajeti yako nipungufu na unashida na gari nitakupatia gari zuri kwa bei poa piga simu +81804686066 au piga +255753424500 au stephen@cesmatrade.co.tz
kama bajeti yako nipungufu na unashida na gari nitakupatia gari zuri kwa bei poa piga simu +81804686066 au piga +255753424500 au stephen@cesmatrade.co.tz
mimi ni mmoja ambao naitaji gari.je unapatikana wapi mkuu?
si umtafute kwa namba hizo?
mi nataka tractor, 4wd, horse power 2500 na kuendelea. Full option.
Au tractor sio gari? Mi siwezi kununua gari wakati ninalima kwa mkono.
utapata sema mwaka kagani unataka nikupe bei