Jipatie gari hii kwa tsh million 3 tu

Jipatie gari hii kwa tsh million 3 tu

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,028
Reaction score
650
kama umechoka kutembea kwa miguu au kupanda daladala jipatie gari hii kwa million 3 tu, maelewano yapo piga namba 0713532322 kwa maelezo zaidi, niko dar es salaam
 

Attachments

  • IMG_20140602_173707.jpg
    IMG_20140602_173707.jpg
    281.9 KB · Views: 766
  • IMG_20140602_173715.jpg
    IMG_20140602_173715.jpg
    408.3 KB · Views: 656
  • IMG_20140602_173724.jpg
    IMG_20140602_173724.jpg
    263.4 KB · Views: 622
  • IMG_20140602_173731.jpg
    IMG_20140602_173731.jpg
    333.4 KB · Views: 583
  • IMG_20140602_173737.jpg
    IMG_20140602_173737.jpg
    221.8 KB · Views: 537
  • IMG_20140602_173754.jpg
    IMG_20140602_173754.jpg
    270.4 KB · Views: 502
  • IMG_20140602_174331.jpg
    IMG_20140602_174331.jpg
    225.4 KB · Views: 496
  • IMG_20140602_174322.jpg
    IMG_20140602_174322.jpg
    270.4 KB · Views: 476
  • IMG_20140602_174024.jpg
    IMG_20140602_174024.jpg
    267.9 KB · Views: 486
  • IMG_20140602_174006.jpg
    IMG_20140602_174006.jpg
    399.1 KB · Views: 484
  • IMG_20140602_173805.jpg
    IMG_20140602_173805.jpg
    339.3 KB · Views: 560
gari iko poa tu haina shida yeyote na pia inatumika daily inatoka kijichi kwenda ubungo job
 
gari nzuri hiyo mkuu..tena kama engine yake mnanda utauza tuu
 
Inaweza kuwa gari nzuri, tatizo mvuto. Afu hivyo vitambaa kwenye dashboard na stearing wheel cover ungevitoa kabla ya kuifotoa ingekuwa poa sana, vinasababisha ndinga kuonekana chakavu zaidi ya ilivyo.
 
kama umechoka kutembea kwa miguu au kupanda daladala jipatie gari hii kwa million 3 tu, maelewano yapo piga namba 0713532322 kwa maelezo zaidi, niko dar es salaam

Njia Ile ninyembambaa iendayouzimanii....yaani hiyogaariii ikisikia hizo nyimbo inazima na hapo ndio mwishowake aiwakitena
 
Inaweza kuwa gari nzuri, tatizo mvuto. Afu hivyo vitambaa kwenye dashboard na stearing wheel ungevitoa kabla ya kuifotoa ingekuwa poa sana, vinasababisha ndinga kuonekana chakavu zaidi ya ilivyo.

Alafu aanunuegari nani ikionekana chakavu mkuu,/?
 
Njia Ile ninyembambaa iendayouzimanii....yaani hiyogaariii ikisikia hizo nyimbo inazima na hapo ndio mwishowake aiwakitena

mmmhahahaaaa! umenichekesha sana mkuu
 
Mkuu usihangaike na jf sana ukionakimyasana
Kuna jamaapalekariakoo wananunuamagariwanakatakata almost same price ama
Nenda Yale.maduka ya njiakwenda kwa mtogole
Pembeni kunabaadhi wanauxa spare zamagari ulizia wananunuaga magari otherwise wish all the best niseme ukweli Akuna laana kama gari ikufiemkononi inaumizasana
 
jamaa sema bei nzuri niingie mkopo.
2ml kavu ni pm.
nipo moro.
 
hii gari ni ya zamani lakini ni nzima kabisa sihitaji kuitia urembo ili ionekane mpya na kumuuzia mtu mbuzi kwenye gunia
 
寫入入手手輸入入き手
 
iyo chuma ni roho ya paka...inafaa mtu ambaye sio tozi, asiye na mbwembwe, anaeanza kunnunua gari ili ajfunzie...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom