Karibuni chia seed kwa sh.elfu 9 tu kwa kilo moja
Chia seed ni safi na ndio imevunwa muda sio mrefu ,
Napatikana dar es salaam tegeta na popote pale utaletewe (utachangia usafiri)
Chia ipo nyingi na ya kutosha NAWAKARIBISHENI SANA KWA ODA
Kiasi chochote utakachohitaji kinapatikana na pia bei itapungua