Asali mbichi toka sikonge Tabora inapatikana, pia utapata elimu ya jinsi ya kuitambua asali iliyochakachuliwa, iko kwenye containers za lita 1, lita 5, na lita 20.
Lita1 - Tshs. 12,000; lita 5 tshs. 60,000; lita 20 tshs. 240,000/- Tafadhali kama uko serious unahitaji ni pm.

TAHADHARI: ASALI INAYO PATIKANA TABORA NA SEHEMU ZINGINE WANAZOLIMA TUMBAKU NI HATARI KWA AFYA. NYUKI HUOKOTEZA NECTA KUTOKA MAUA MBALIMBALI PAMJA NA TUMBAKU. KWA HIYO ASALI IPATIKANAYO INA NICOTINE KIBAO. NDIO MAANA WANJANJA WA MANGHARIBU SIKU HIZ HAWAICHANGAMKII ASALI KUTOKA TABORA. WANANUNUA NTA PEKEE!!!
macjnkus

mkuu, hiyo bei yako ni hatari sana! Ninaye ndugu yangu pale Mibono. Mwezi wa sita mwaka huu ameleta asali kwangu kwa bei ya Tshs 25,000= kwa Lita 5; na lita 20, bei ni 70,000/= ; bei hii inabadirika barika lakini si ktk kiwango hicho cha kwako mkuu!
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Hakuna asali mbichi duniani! Acheni uongo na ushamba wa kutojua maana ya asali ya nyuki nyie!!!! Asali mbichi??????? Iliyoiva ikoje! Kuna asali ya nyuki wakali na wadogo (wasiouma) tu!!! Msianze kutupa maasali mabichi yaliotengenezwa kwa makapi (molases?)....
Mkuu kweli bei hiyo siokabisa mana hii sio biashara tena ni unyama bei ya kawaida kabisa ni hiyo ya 25,000 kwa 5lita jameni huku ni kukomoana. huwa nikiishiwa asali nyumbani naenda nunua pale kota za shirika la reli baada ya kona ya chai kawaida nilikuwa nanunua lita 1 kwa shilingi 7000 juzi mwanangu alikuwaankohoa sana nikapita nimpate japolita. lakini nilirudi mikono mitupu baada ya kukuta lita 1 inauwza shilingi 20.000 jamani hivi huu ni uzalendo kweli na ahidi kufungua duka la asali hivi karibu na ntauza kw bei ya sikonge ilimradi tu niwakomboe wanyonge mana hatamimi ni mnyamwezi na ninajua umuhim wa asali kwa tiba na nimtumiaji wa asali na najua inapopatikana na gharama zake kwanini tunyonwe na wafanya biashara wenye tamaa hawa si wazalendo inanipa jazbasana halihii kilakukicha ni maumivu kwa mtu wachini looooh mungu atawaona ninyi msio na huruma na maskini

macinkus