Jipatie Alcobond kwa bei nafuu

Jipatie Alcobond kwa bei nafuu

jacquejaytee

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
48
Reaction score
30
ALcobond (alluminium panel)ni aina ya board zinazotumika kwenye urembo wa majengo,kutengeneza mabango ya biashara, na matangazo tofauti.zenye upana wa mita 4 na urefu mita 8.Bei ni Tsh 120,000.Zipo za rangi tofauti kulingana na chaguo la mteja.Alcobond zetu ni nzuri,imara na bei ni nafuu sana ukilinganisha na ubora wake.Tunaagiza kutoka Uturuki na Iran ili kukidhi hitaji la watumiaji.Tunapatikana Gerezani Dar es Salaam.Mikoani tunatuma pia.Kwa mawasiliano zaidi piga/ whatsapp 0715002270
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom