jioni njema wadau

@C6

Hivi unaishi Nchi gani?

Na kama ni Tanzania yetu kisiwa cha AMANI,je? Unaishi Mkoa gani?

Kama ni Kanda ya Kaskazini,karibu sana ndani ya A town ground na bila shaka kila kitu kinapatikana na mahindi tu ni mpaka Ng'ombe mchemsho na hata mbuzi choma full!

Karibu sana A town @C6
 
Umenipa tabu kabisa, hii kitu naifafuta lakini siioni, next week nakuja Arusha, tuonane hapo Rush Garden...
 

niko mjengoni capital city, ila ntafurahi siku moja kuja tena arachuga LiverpoolFC
 
Last edited by a moderator:
Nimepata hiyo kitu jioni hii

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…