Kuna mambo yakikutokea inabidi ujiongeze. Ndugu alikuwa anamrudisha mdogo wake kwao baada ya kuwa mahututi basi safari imeendelea ndani ya basi siti za watu wawili yule mgonjwa akafariki yule ndugu kupiga hesabu akaona hapa nikijifanya kulia kuwa dogo kafariki nitashushwa kituo kinachofuatia sababu hii ni gari ya kubeba abiria sio maiti basi akamfunika uzuri safari ikaendelea mpaka sehemu aliyo kuwa anakwenda gari liliposimama ndio kaanza yowe pale ila ndio kaisha fika.