Jionee jinsi wanaanga wanavyoishi katika kituo cha anga cha kimataifa(ISS)

Hawa kipindi flani walikua wameanza process ya kutengeneza kinyesi "kimba" kua msosi sio? Sijui iliishia wapi hio kitu
 
I always wonder hawa jamaa zetu wana defy vipi gravity katika nyungo zao za safari,

upload_2016-1-2_12-14-11.jpeg



upload_2016-1-2_12-14-41.jpeg


Au ndio kusema mtu akienda zaidi ya speed ya mwanga (time travel) uzito unakua zero...na mtu anabadilika nakusafiri kama air particles
 
Ngoja tu hawa jamaa waendelee kutusumbu maana wanatumi,akili,muda na gharama kubwa kubaini mambo magumu
 
Back
Top Bottom