Jinsigani nimtongoze?

Jinsigani nimtongoze?

Umekaa na jini....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Sasa kama una pesa unapata tabu gani mnunulie lunch kwanza
 
waungwanaaaa msaada tafadhali

kuna kibinti kizuri yaan pini ya maana udenda tu unanitoka hapa tumekaa siti moja kwenye gar mi naenda Moro yeye sijui,, kamekula kavu hatar hata salam yangu hakajaitikia,,
kwa wale manguli wa kutongoza nianzie wapi wakuu
kakikubali haka nafanya mke kabisa
naweka ndani yaaan
she is so cute ...God anajua kuumba kwakwel.

Daaaàah achaaa naye tu
 
ngoja nimcheli miguun km ana kwato
Utaona inafanana na hii..[emoji116]
CuzUxxkWYAAAViw.jpg
 
Kila mtu na sehemu yake anayojua mfno wewe unajua jinsi ya kuwa wa kwanza kureply but hujui kuwa wa mwisho Ndo ilivyo kwa mleta mada hajui vocabularies za kumweka sawa mrembo mkali mkali aka kisu.
Hahaha haya sawa mkuu
 
Kuwa kama kuna kitu unamuuliza akuelekeze then anzia hapo.
 
Ungeiba hata kapicha kake utuletee hapa..kama yupo kimya jifanye umedondosha kitu kwenye paja lake then mazungumzo yaanzie hapa, jifanye kama hum mind vile, tatizo una mkodolea sana mimacho
 
Back
Top Bottom