Dr wa vichaa alipaki gari lake karibu na wodi ya vichaa maana lilikua limeharibika, akaingia ndani aliporudi akamkuta chizi/kichaa mmoja amelala chini ya gari lake kama fundi analiangalia gari kwa chini,
Dr: dah! naona umepona umejuaje kama gari langu limeharibika?
Chizi: hamna nilikua naangalia gari lako kama ni dume au jike.