Jinsi ya kuzuia tracking ya simu

Jinsi ya kuzuia tracking ya simu

Mkuu ni kuzima simu tu ikiwezekana ivunje vunje hapo umejiondolea stress.
 
Restore sim ama uninstall app yake halafu u download upya pia kama una namba mpya jiungie hiyo.
 
Hehehehe! Kama una magendo usiyafanye kwenye simu that's all!
.
Vinginevyo kama ni issue za mahusiano hawezi kupata hivyo vijambo kirahisi japo anaweza kupata kirahisi pia kama ni mjanja.
.
Siku hizi kuna haya ma-tracing apk's ukiyapakua yanataka permissions to access your contact list kwanza yana identify contact zako, pili yana locate without ruhusa ya wenyewe.
Sasa kama haya yanaweza kufanya imagine what identifiable real spy apps can do!

Enjoy maisha wewe
 
Restore sim ama uninstall app yake halafu u download upya pia kama una namba mpya jiungie hiyo
Kuna apss hata ukirestore hazitoki maana hazingii kama third party software na hata ukitaka kui unstall yenyewe haiwezekani inategemeana na mfumo alio tumia kukuspy
 
Wakuu nimekuja kwenu hapa mnielekeze namna ya kuzuia mtu asifatilie Sms zako, calls ,WhatsApp chats nakadhalika.

kcamp CHIEF MKWAWA
Usimiliki simu ukiwa hewani wadukuzi wakikutaka ukupata, usidanganywe na sijui iPhone sijui kifaa gani.Ingekuwa inazuilika kina kigogo wasingepata dukua taarifa nyeti.
 
Back
Top Bottom