Rwaz JF-Expert Member May 3, 2013 1,971 3,324 Jul 19, 2020 #1 Unanunua raba nyeusi ya turubai ambayo hupati kirahisi aina hiyo tena. inapauka ikiwa mpya. unairudishiaje weusi tii wake?
Unanunua raba nyeusi ya turubai ambayo hupati kirahisi aina hiyo tena. inapauka ikiwa mpya. unairudishiaje weusi tii wake?
dirtyboy JF-Expert Member Sep 16, 2017 377 666 Jul 19, 2020 #4 Tafuta Rit Dye (all purpose) utaweza kuvifanya viatu vyako kuwa vipya tena.
dirtyboy JF-Expert Member Sep 16, 2017 377 666 Jul 19, 2020 #5 dirtyboy said: Tafuta Rit Dye (all purpose) utaweza kuvifanya viatu vyako kuwa vipya tena. Click to expand... Tena kwa Converse og huwa zinanoga balaa
dirtyboy said: Tafuta Rit Dye (all purpose) utaweza kuvifanya viatu vyako kuwa vipya tena. Click to expand... Tena kwa Converse og huwa zinanoga balaa
Tajiri wa Magomeni JF-Expert Member Aug 21, 2019 4,274 2,921 Jul 21, 2020 #7 dirtyboy said: Tena kwa Converse og huwa zinanoga balaa Click to expand... unaweza ukatumia hata kwenye viatu vyeupe?
dirtyboy said: Tena kwa Converse og huwa zinanoga balaa Click to expand... unaweza ukatumia hata kwenye viatu vyeupe?
Analyse JF-Expert Member Jan 19, 2014 16,488 41,647 Jul 21, 2020 #8 Inapatikana kwenye maduka ya aina gani mkuu?
Analyse JF-Expert Member Jan 19, 2014 16,488 41,647 Jul 21, 2020 #9 dirtyboy said: Tafuta Rit Dye (all purpose) utaweza kuvifanya viatu vyako kuwa vipya tena. Click to expand... Inapatikana kwenye maduka ya aina gani mkuu?
dirtyboy said: Tafuta Rit Dye (all purpose) utaweza kuvifanya viatu vyako kuwa vipya tena. Click to expand... Inapatikana kwenye maduka ya aina gani mkuu?
dirtyboy JF-Expert Member Sep 16, 2017 377 666 Jul 21, 2020 #10 Tajiri wa Magomeni said: unaweza ukatumia hata kwenye viatu vyeupe? Click to expand... Ndio mkuu zipo za rangi nyingi tu ni wewe unayo hitaji
Tajiri wa Magomeni said: unaweza ukatumia hata kwenye viatu vyeupe? Click to expand... Ndio mkuu zipo za rangi nyingi tu ni wewe unayo hitaji
dirtyboy JF-Expert Member Sep 16, 2017 377 666 Jul 21, 2020 #11 Analyse said: Inapatikana kwenye maduka ya aina gani mkuu? Click to expand... Mm niliagiza eBay mkuu