Jinsi ya kuzuia raba nyeusi kupauka zikiwa bado nzima

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,933
3,254
Unanunua raba nyeusi ya turubai ambayo hupati kirahisi aina hiyo tena. inapauka ikiwa mpya. unairudishiaje weusi tii wake?
 
Tafuta Rit Dye (all purpose) utaweza kuvifanya viatu vyako kuwa vipya tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom