Chagua provider mmoja wa izo gateway, nenda watakupa maelekezo yote. Kwa selcom, utajaza kwanza form, uwe na vitambulisho, tin, lesen ya biashara etc. then watakuandalia keys baada ya siku tatu/nne itatumiwa email na documentation zote ili kuanza integration na API yao. Wana gateway za mitandao yote na bank zote.
Beem pia ni moja wapo lakn nadhan mpaka sasa hivi wana tigopesa tu