Jinsi ya kuweka iphone OS kwenye android smartphone

By the way why do you condemn chinese kiasi hicho, wakati most smartphones used by tanzanians are made in china. Hata the leading world seller wa laptop mwaka huu ni Lennovo, kampuni ya China.
Naongelea kampuni kama Goophone Goophone I6 Plus wanaotengeneza iPhone replica tu so usianze kuni quote vibaya kisa tu ya argument.

Hii kampuni ingekuwa possible kuweka ios kwenye Android wangeiweka na sio kuweka skin ya ios on top of android.
 
Hii ni mada ya watu kubadilishana mawazo,#utakuja umenipa challenge nzur. Hiki ndio kitu napenda tuna argue kwa facts.
Mkuu tushakwambia kuanzia mwanzo badala yake ukaniambia mimi ni small minded person, ungekuwa unataka mawazo kutoka kwangu ungeniuliza ni kwa nini haiwezekani kufanya installation ya iOS kwenye Android phone na mimi ningetoa point au facts zangu na kama ungeziona hazifai au irrelevant hapo ndo ungehitimisha kwamba mimi ni small minded person.
Kwa nijuavyo mimi, ili platform moja iweze ku-interact na platform nyingine kuna consideration ya vitu unatakiwa kuangalia, mfano
-Hardware architecture - how hardware interact with software, optimization ya software kwenye hardware, kumbuka Apple huwa anadesign CPU zake mwenyewe kwa hiyo anajua ni jinsi gani itafanya kazi na iOS
-Software license - Hapa inategemeana kama software license ni proprietary(closed source) au ni open source, kumbuka hapa tunaongelea Apple iOS ambayo ni closed source kwa hiyo sio rahisi kufanya mabadiliko ili yaweze kuendana na hardware na Bootloader drivers za system nyingine
-Bootloader- kumbuka kila OS ina specific Bootloader ya kuelekeza jinsi gani OS iweze kuboot, na Bootloader ni program iliyoandikwa kwa codes hivyo basi sidhani Bootloader ya android ni the same na Bootloader ya iOS
-Kernel - kumbuka hii ndio interface kati ya hardware na software applications, ingawa Apple na Google wote wanatumia Unix like kernel bado Apple kernel yake ni hybrid na hivyo iOS imetengeneza kufanya kazi na hiyo kernel tu na si vinginevyo

Mwisho nasema hivi "iPhone was designed to run iOS. And iOS was designed to run on iPhone"
 
Asante sana kiongozi. Darasa tosha kabisa. I missed some issue hususan kwenye closed source na open source, mambo ya software licence na kernel.

Well explained bro, nmekuelewa vyema sasa. Shukrani sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee mbavu zangu...

Flaws za hii article huwezi fanya hizi commands:

1. Bila android kuwa in bootloader mode
2. Kusend OS mpya kwenye Linux based os depending na simu unahitaji Android device bridge au OTA Over the Air, sasa hii app somehow inaweza kuingia kwenye update server ya simu yoyote na kukutumia update kitu ambacho ni impossible.

Haiwezekani kuinstall ios because:
1. ios ni closed source so huwezi kupata source code ili ufanya iwe compatible na chipset nyingine.
2. Android phones zimetengenezwa in such a way kufanya kazi na android os tu au other Linux based os mfano Ubuntu for phones. Unaweza kuweka windows xp au 7 lakini itakuwa slow sana.

Njia za kupata ios kwenye Android:
1. Screen cast screen ya ios to android via a cable.
2. Install Miui rom ndio iko close kufanana na ios kimuonekano.
3. Install custom rom kama Cyanogenmod n.k alafu tafuta theme ya ios kwenye cyanogenmod. Kama hii [THEME] [iOS] CM12 | PROJECT BLACK & PROJECT WHITE // 13.05
Nakubaliana na wewe mkuu, kuna iPhone 6 flani feki zinauzwa sana Kkoo ukiwasha ni kama iphone lakini ukitaka kudownload apps inakupeleka playstore .
 
Ndio hicho nachokisema hayo makampuni ndio yangekuwa ya kwanza kuweka ios kwenye hizo clone zao zamani sana.

Maana hawaogopi kupelekwa mahakamani.
 
Download ilauncher playstore then install ujifariji
 
Back
Top Bottom