Jinsi ya kuwalinda Watoto dhidi ya #COVID19

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
0001-17526970366_20210227_104017_0000.png


1: Wafundishe Watoto kuhusu #COVID19, na namna inavyosambaa pamoja na madhara yake. Waeleze bila ya kuwatisha

2: Wafundishe kunawa mikono yao kwa Maji Tiririka kwa kutumia sabuni au "Sanitizer" yenye kiwango cha kilevi kwa asilimia 60

3: Waeleze umuhimu wa kukaa mbali na watu pamoja na kuwaepuka wanaopiga chafya na kukohoa bila ya kujikinga

4: Safisha kwa kufuata maelekezo ya afya kwa kutumia sabuni au "Sanitizer" maeneo yote ambayo watoto wanaweza kugusa(Meza, viti, na vitu vingine wanavyokula)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom