Jinsi ya Kuwa Vile Unavyotaka Kuwa

Jinsi ya Kuwa Vile Unavyotaka Kuwa

ERTUGRUL BEY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
11,670
Reaction score
21,773
Screenshot_20250320_100921_Google.jpg


Kila mara weka picha akilini mwako vile unavyotaka kuwa,weka mawazo yako unataka kuwa mtu wa namna gani

Ili ufanikiwe inatakiwa uwe na mlengo wa kuona mafanikio mbele yako,mfano unapenda kuwa na ndinga flani hapa town/gari ya ndoto yako,basi waza kana kwamba upo ndani ya hiyo gari una cruise mitaa ya town

Hauwezi kufanikiwa kama ndani ya akili yako unawaza mambo ya kutofanikiwa (you can't succeed if you mentally picture as a failure) hii ni sheria ya ulimwengu (This is uneversal law of consistency ; you cannot think (mentally picture one think and be or do anaother)

Hauwezi kuwaza umaskini halafu ukawa tajiri

Hauwezi ukawaza upendo halafu ukawa na chuki

Unaweza kuja kuwa mtu yoyote unayetaka kuwa kwasababu mawazo na fikra zako ndani ya ubongo ndio zinafanya uwe vile unavyotaka kuwa

Ni hayo tu!
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=sHY-E0xIb7Y

Mi ningependa siku moja kuwa kwenye dunia ya hao majamaa kwenye hiyo podcast ni kulipuana tu; hoo huyu jamaa hajui kitu, sijui theory yake ni utata mtupu; imejaa hesabu za kukariri lakini hakuna new idea. .

Aisee kwenye dunia ya theoretical physicist ukiwa unafuatilia kuna siasa, majungu na ujuaji huko balaa.

Ukiweza sikiliza hiyo podcast kwa dakika kumi tu utasema salaleh, jamaa kaanda nondo za kuwatwanga wapinzani wake balaa; halafu hakuna kumung’unya maneno. Thats my world one day.
 
Back
Top Bottom