Naona huwa kuna mtoa sn. Hata anavyo tupia mavazi. Kumbe yule mkurya wake ni hatari hivi?.
Ngoja nitakopi na kupaste kwa T. Lissu nae muona Bongo.
Musituwekee humu mipicha ya Wazungu na Black Americans. Wale ni mixed blood , muonekano una wabeba sn.
Binafsi siamini kwamba nguo za aina flani zinamfanya mtu kuwa smart. Kuwa smart ni wewe mwenyewe nakujiamini kwako. kuwa smart ni kuchagua mtindo au style yako mwenyewe, sio kuiga wavaavyo wengine. Nguo zozote unazo vaa zitakufanya uwe smart.