Jinsi ya kuwa gentleman

4 sure chief
 
Alikua anataka kutapisha walaji[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana hafai kuingia kwenye kundi la Waungwana
 
uzi mzurii na unafundisha.

Sio unajiita getleman unapga chafya ukiangalia hapo chini km imenyesha mvuaa, uso nao haufai, pua na mdomo km unapiga unda.

Ukitaka kujua sura halisi ya mwenza wako akizeeka subiri apige chafya
Umekufundisha nn?
 
Buhahahahahahaha nimecheka kifala yani
 
Kumbe watu wenye tabia Kama hizi ndio hua tunaitwa magentleman, nashukuru mleta uzi kwa kujua nami nimo kwenye kundi hilo
 
Hapo kwenye KUPIGA kelele sasa mwanaume mzima anaongea Kama kafungiwa spika kifuani alafu yupo ofisini Ila Kama yupo gengeni ofisi nzima inatamalaki sauti yake Hana utulivu katika maongezi sauti ya kawaida awezi ongea ,anaongea Hadi mishipa ya uso ina msimama ,non stop utasema asha ngedere aliyekulia mwananyamala
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuongea uongo na vitu vya hovyo hovyo ili kujitetea ,hata Kama Ni kweli Kuna Mambo gentleman uwezi ongea kulinda heshima yako ,Mana maneno unayoongea ya mtu pia yanaweza kukuvua nguo wewe mwenyewe hahaha
 
hivi kwanini watu wa mikoani huchukulia uchafu wa mwilini na kuwa rough kimavazi kama sifa ya mwanaume?.

hii imekuwa ikinichanganya sana.
 
Uzi mzuri...ila mtu kuweza kuwa na sifa zote hizo ni ngumu...
 
Mambo yashakuwa mengi, Tafuta pesa, pata Pesa. = Gentleman.
 
uzi mzurii na unafundisha.

Sio unajiita getleman unapga chafya ukiangalia hapo chini km imenyesha mvuaa, uso nao haufai, pua na mdomo km unapiga unda.

Ukitaka kujua sura halisi ya mwenza wako akizeeka subiri apige chafya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ghafla nikajua jinsi ya kuwa gentamycine.

good bro but,hapo no 2,kwenye leso unataka ma gent tuaibike,utoe leso yako mfukoni umpe demu anayelia wa dsm aipokee afutie machozi[emoji23][emoji23][emoji23]bro hauko serious.

hawezi ipokea.labda akujue.
Gentamcyine anawatambalizia mapopoma comments za kutosha kwa kutumia ile Id yake ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…