Wakuu habari, samahani kwa kuingilia mada. Mimi ninatatizo kuhusiana na huduma ya dstv XtraView, tangu niinunue siku ya nne inaniambia no communication from primary decorder! Inaonekana CCTV pekee! Naomba msaada wenu ili niweze kutatua hili tatizo. Nliwafuata ofisini wakasema pamoja na kunifungulia lakini lazima ntafute fundi wa kunifanyia installation, lakini nliowapata naona wanahangaika tu. Natanguliza shukrani kwenu.