Ukijiunga group/channel unaona message zote zilizotumwa tangu kuumbwa kwa groupKaribu Telegram.
Mwaka wa 5 natumia hii app.
Matumizi yake ni kama ilivyo whatsapp
Ila hii ina vitu vya ziada
1.Ni end to end encryptation
2.Ina cloud storage sms zangu za tangu 2015 bado ninazo
3.Ina group na channel unaweza kuwa na members zaidi ya 10000
3.Unaweza hide phone no
4.Ina search engine kwa ajili ya kusearch group na channel
5.Wanaruhusu kutunia API yao
6.Mengine nitaingeza au wataongeza
Naomba unifahamishe point #4, how does it work?Karibu Telegram.
Mwaka wa 5 natumia hii app.
Matumizi yake ni kama ilivyo whatsapp
Ila hii ina vitu vya ziada
1.Ni end to end encryptation
2.Ina cloud storage sms zangu za tangu 2015 bado ninazo
3.Ina group na channel unaweza kuwa na members zaidi ya 10000
3.Unaweza hide phone no
4.Ina search engine kwa ajili ya kusearch group na channel
5.Wanaruhusu kutunia API yao
6.Mengine nitaingeza au wataongeza
Kuna search ambayo unaweza ukasearch channel, magroup na watu mbalimbali, tofauti na whatsapp mpaka uwe na namba ya mtu ndio mnawasiliana
Eleza sasa hiyo search engine iko wapi/inapatikanaje?Kuna search ambayo unaweza ukasearch channel, magroup na watu mbalimbali, tofauti na whatsapp mpaka uwe na namba ya mtu ndio mnawasiliana
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba 5 hapo maelezo zaidi please.Karibu Telegram.
Mwaka wa 5 natumia hii app.
Matumizi yake ni kama ilivyo whatsapp
Ila hii ina vitu vya ziada
1.Ni end to end encryptation
2.Ina cloud storage sms zangu za tangu 2015 bado ninazo
3.Ina group na channel unaweza kuwa na members zaidi ya 10000
3.Unaweza hide phone no
4.Ina search engine kwa ajili ya kusearch group na channel
5.Wanaruhusu kutunia API yao
6.Mengine nitaingeza au wataongeza
API in short unaweza kuzi mod source coda za telegram na kutumia jina utakalopenda tofauti na whatsapp ambapo ni kosaNamba 5 hapo maelezo zaidi please.
Ok, umeongea kitaalamu zaidi, nitajifunza zaidiAPI in short unaweza kuzi mod source coda za telegram na kutumia jina utakalopenda tofauti na whatsapp ambapo ni kosa