Jinsi ya kutumia tecno M3 kama modem!

Jinsi ya kutumia tecno M3 kama modem!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,999
Natumia PC desktop ya HP window 7
Naomba kujua jinsi ya kutumia simu Yangu tecno m3 kama modem kwa kutumia USB cable!
Natanguliza shukrani!
 
Mmh kama modem cdhan au labda sijui ila ingekua PC yako ina wireless ndo ingekuwa rahisi!
 
Natumia PC desktop ya HP window 7
Naomba kujua jinsi ya kutumia simu Yangu tecno m3 kama modem kwa kutumia USB cable!
Natanguliza shukrani!
unachotakiwa kufanya nenda settings halafu nenda OTHER halafu nenda HOTSPOT AND TETHERING halafu unatick usb tethering
 

Attachments

  • 1402659331970.jpg
    1402659331970.jpg
    15.7 KB · Views: 209
  • 1402659465745.jpg
    1402659465745.jpg
    12.5 KB · Views: 187
  • 1402659557620.jpg
    1402659557620.jpg
    13.8 KB · Views: 181
kama nataka kugawa wi-fi kwa simu nyingine kama samsung pocket je nafanye?
 
na search mnara wa roaming kweny voda kwa samsng pocket unakuja lakn kwa tecno m3 unagma hapa vp wadau
 
Back
Top Bottom