jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 380
- 1,312
Unataka kuangalia nyumbani kwako ukiwa kazini au shuleni? Hakuna haja ya kununua CCTV ya bei ghali!
Tumia simu ya zamani kama kamera ya ulinzi kwa kutumia app moja rahisi sana:
App: Alfred Camera
Faida:
Trick:
1. Chukua simu ya zamani yenye kamera
2. Install Alfred Camera
3. Iconnect na akaunti yako ya Google
4. Iweke sehemu unayotaka ku-monitor
5. Tumia simu yako ya sasa kuangalia live
Kwa usalama zaidi, weka simu hiyo kwenye chaji muda wote na ifunge na app lock.
Tumia simu ya zamani kama kamera ya ulinzi kwa kutumia app moja rahisi sana:
App: Alfred Camera
Faida:
- Unaiona nyumba live kutoka simu nyingine
- Ina motion detection (ikigundua mtu inarekodi)
- Inaweza kuplay audio (unaweza kusikia na kuongea)
- Huhitaji Wi-Fi ya nguvu sana