wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 113
kwa bluetooth siwez ninayo desktopJaribu kutumia port tofautitofauti za usb katika pc, au jaribu kwa Bluetooth.
kwa bluetooth siwez ninayo desktop
kaka ukitafsiri kiswahili tu hio message unapata jibu hapo hapo.
modem may be used by another application.
kumbuka umeshawahi kuitumia simu yako kwa internet na app nyengine? kama dial up connection au third party app kama mobogenie. kama tayari zifunge kwanza hizo application halafu tumia simu yako kwa pc suite. control alt na delete ndo itayokuingiza task manager kuclose hizo app.
modem may not be configured propely
kuna baadhi ya pc suite unaweza eka configuration na kuset apn ambayo siku zote ni internet.
kama tatizo linaendelea bado download nokia suite ambayo ndio latest. inawezekana uzamani wa pc suite ukachangia pia hilo
iyo dial up nazifungaje sasa, maana zipo katika compyuta ila pakuzifunga sipaon
hapana cjawah zitumia, yan ndo kwanza ndo nimenunua simu hii sasa