LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,455
- 30,880
Salama wakuu?. Wiki ijayo nitasafiri kwenda nchini Ghana na nitakuwa huko kwa muda wa mwezi mmoja.... Nitahitaji kuwa natumia namba yangu ya Vodacom ( Tanzania ) ilihali nikiwa Ghana. Naomba kujuzwa , nifanye njia gani ili niweze kutumia namba ya Tanzania nikiwa Ghana. WITH MUCH THANX IN ADVANCE