unatumia modem ya mtandao gani? kama ni voda kiukweli haitokubali nilikua na tatizo hilo hilo...Airtel ipo poa, ndio ninayoitumia kwenye mac os x 10.8.habari zenu wapendwa. Naomba msaada kwa hili, natumia laptop ya apple aina ya macbook pro ambayo inaoperate Mac OS X 10.8 ambayo ndo miongoni mwa latest operating system za apple. Tatizo ni kwamba napotaka kutumia internet inabidi nitumie cable au bluetooth kutoka kwenye simu ambayo inakuwa kama modem. Nikichomeka modem inashindwa ku detect na kufanya installation kama ilivyo kwa windows. Je nifanyeje ili i function?
unatumia modem ya mtandao gani? kama ni voda kiukweli haitokubali nilikua na tatizo hilo hilo...Airtel ipo poa, ndio ninayoitumia kwenye mac os x 10.8.
Kwa kawaida hiyo modem, kama ni ya Airtel au Voda, inakuwa kama hard drive. Unachotakiwa kufanya ni kuifungua na kupata software za Mac. Unafanya install kisha unaweza kuelekezwa ku-reboot. Fanya hivyo.
kwanini Ikatae??? hzo Ni solution Za Kusadikika
unatumia modem ya mtandao gani? kama ni voda kiukweli haitokubali nilikua na tatizo hilo hilo...Airtel ipo poa, ndio ninayoitumia kwenye mac os x 10.8.
unatumia modem ya mtandao gani? kama ni voda kiukweli haitokubali nilikua na tatizo hilo hilo...Airtel ipo poa, ndio ninayoitumia kwenye mac os x 10.8.
sijui, lakini hizo modem za voda hata ukiconnect kwenye windows ukaifungua unakuta hamna installation folder for mac.kwanini Ikatae??? hzo Ni solution Za Kusadikika
Labda uwe begginer wa computer za Mac, modem zote za ZTE na Huawei ambazo ndizo hutumiwa sana na mitandao TZ zina software ya kuinstall kwenye OS X ya apple. Haijalishi ni ipi. Kama imegoma kabisa tafuta software ya hiyo modem kwa OS X. Mimi sijawahi tumia personal computer binafsi zaidi ya Macbook Pro. Ilishawahi nisumbua ile ya 10.3 na 10.4, ila nikapakua software zake kupitia Vodafone UK. Kwa sasa natumia Modem ya Vodacom nadhani 3565-k kwenye Os X10.8 bila shida.
sijui, lakini hizo modem za voda hata ukiconnect kwenye windows ukaifungua unakuta hamna installation folder for mac.
jaribu tena but this time ukishaconnect modem kwenye mac yako iache for atleast 5-10 min huenda ikakubali.kungekuwa kuna instalation za apple ingesoma kwny mac. Kuna modem flan ya airtel ktk instruction wameandika inasuport mac kuanzia os x 10.5 (leopard) na kuendelea lakn cha ajab haikufanya kaz.