TuelekezeLipo
Nothing is easy, nothing is freeIyo nimeikuta humu jamii na kuna sehemu nimemkuta mtu anatumia hii kwa naomba mwenye kujua na mm anifundishe namna ya kuunganishaView attachment 2509799View attachment 2509800
Nyie ndio huwa mnaturibia,wanaziblock,ungemtumtumia PmAIRTEL
Ha Tunnel
Spark vpn
HTTP CUSTOM
KOBRA DNS
SSH INJECTOR
OPEN TUNNEL
lazima uwe na hat file
Ila MB 300 DAILY FREE
KWA TIGO NA TTCL
WIRE TUNE
KWA HALOTEL
PSIPHON
Tumeitumia ila Kuna machawa Hadi kwenye mitandao walienda toa taarifa ngoma ikazimwa mwiiiAisee namimi naitaka hii kitu, kwa taarifa za awali naskia inatumika "HA TUNEL!"
Sasa namna ya kuiset nakupata hiyo huduma ndo changamoto aisee, wadau hebu tusaidiane jamani sie wote watanzania, tudumishe undugu.
Watazipiga PIN bongo nyoso hawapendi watu waishi kwa mseleleko ungemtumia PMAIRTEL
Ha Tunnel
Spark vpn
HTTP CUSTOM
KOBRA DNS
SSH INJECTOR
OPEN TUNNEL
lazima uwe na hat file
Ila MB 300 DAILY FREE
KWA TIGO NA TTCL
WIRE TUNE
KWA HALOTEL
PSIPHON
nyie ndi hua mnafanya zinafungwa, cha asubui wamepita nacho ila hamkomi.AIRTEL
Ha Tunnel
Spark vpn
HTTP CUSTOM
KOBRA DNS
SSH INJECTOR
OPEN TUNNEL
lazima uwe na hat file
Ila MB 300 DAILY FREE
KWA TIGO NA TTCL
WIRE TUNE
KWA HALOTEL
PSIPHON
Mbona nyie wachoyo hivyo tupe mwongozo mzuri bhasiAIRTEL
Ha Tunnel
Spark vpn
HTTP CUSTOM
KOBRA DNS
SSH INJECTOR
OPEN TUNNEL
lazima uwe na hat file
Ila MB 300 DAILY FREE
KWA TIGO NA TTCL
WIRE TUNE
KWA HALOTEL
PSIPHON
Kama ulitumiwa PM nicheki na mm mkuu.Habari za muda huu wana jamii naomba kwa anae fahamu namna ya kutumia internet bure bila kutumia bundle anipatie na mimi ni seleleke kama wenzangu natumia airtel....
voda vipi hakuna au@King RabbitMbona nyie wachoyo hivyo tupe mwongozo mzuri bhasi
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app