Blog
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 320
- 129
Habari zenu Wakuu poleni na majukumu ya kutuelimisha ambao tupo nyuma kwenye hizi Mambo.
Kifupi ni kuwa kuna movie nilichukua kupitia hii Simu ya HTC One kwenye Laptop ya jamaa yangu sasa nataka kuangalia hizi movie kwenye TV aina ya Flat kama USB, lakini imekataa inakuja hii kitu hapa chini
Nachouliza pia hdmi gani hutumika kuShare picha na Video uswipe kwenye Screen yako.