IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 3,173
- 3,825
Tafuta window server 2016 au 2019 ndo inafanya hizo mambo, kuna option ambazo zItakusaidia kuchagua either CLI or GUI based utakapokuwa unainstall. Nafikiri option nyingine ni ubunitu au linux.Habari wataalamu
Natumia windows desktop
Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface)
Na pia jinsi ya ku disable GUI
(Graphical User Interface)
Maana lengo langu ni kutumia CLI peke yake.
Natanguliza Shukrani.
Unataka kufanya nini kwenye CLI wakati GUI ipo ?Habari wataalamu
Natumia windows desktop
Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface)
Na pia jinsi ya ku disable GUI
(Graphical User Interface)
Maana lengo langu ni kutumia CLI peke yake.
Natanguliza Shukrani.
Wengine umaarufu kuwa anaweza zote,ingawa kuna baadhi ya makampuni makubwa bado wanatumia CLI hii ni katika kumalizia mikazi ya zamani ambayo ndio inafikia ukingoni...Unataka kufanya nini kwenye CLI wakati GUI ipo ?
mhhh mkuu for real even windows server you need GUI than CLI maybe linux CLI ningekiuunga mkono coz windows imetengenezwa special for easy of use its usersWengine umaarufu kuwa anaweza zote,ingawa kuna baadhi ya makampuni makubwa bado wanatumia CLI hii ni katika kumalizia mikazi ya zamani ambayo ndio inafikia ukingoni...
Hakuna kitu ambacho siwezi ku activate mkuu.dha vijana mnasikitisha sana, mtu unataka kutumia CLI wakati hata ku activate huwezi. au unataka utumia hiyo sijui CLI uionekane hacker uwatisie wana. kijana window in command line zaidi ya 250. baaada ya wiki utarudi hapa kutuambia unataka uridishe GUI
Itabidi niweke virtual machine nifanye hivyoNa pia unaweza kurun linux command ndani ya windows 10 hakikisha una toleo jipya la windows 10
Na nikishafanya hivyo nitakuwa na install apps au softwares za window au za Linux??Na pia unaweza kurun linux command ndani ya windows 10 hakikisha una toleo jipya la windows 10