meralyussufmeral
Member
- Apr 8, 2012
- 29
- 0
natumai hamujambo nilikuwa naomba kueleweshwa juu ya kutia windows tofauti kwenye extarnal hard drive. wakati unataka kutia windows kwenye pc yako na ukawa unataka kutia kwa kupitia extarnal yako je????????? inaweza ikakupa option yoyote ya kuchaguwa utie windows unayotaka kuitia???? mfano windows xp 2000. 2009..windows vista....windows 7 or windows 8 zote zipo kwenye hiyo extarnal yako