Jinsi ya Kutengeneza xml sitemap file ya website yoyote duniani bure

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
How to generate or create Sitemap file for any website free

Site ni file ambalo linaiwezesha search engine kama google au bing kuipata website yako kiurahisi kipindi watu wakisearch.

Jinsi ya kufanya

1. Ingia www. xml-sitemap.com

2. Ingiza URL ya website

3. Click start

4. Subiri imalize alafu download file

5. Liweke hili file kwenye root folder ya website yako ulikohost

6. Upload hili file kwenye google search console
 
Wanaotumia blogspot.com
Wanafanyaje?

Unafanya hivyohivyo Unatype url ya blog yako kwenye sitemap generator then file utaliupload kwenye blospot setting > site search preference

Hapana mkuu umemyumbisha jamaa. Blogspot hairuhusu kuupload xml sitemap. Yenyewe iko generated tayari mfano hivi

JinaLaBlogYako.blogspot.com/sitemap.xml
 
Hicho nilibugi kwasababu nilichosahau kuwa blogspot.com ni za google.

Hiyo unaenda moja kwa moja kwenye google search console na kuadd url
 
Back
Top Bottom