Jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia Simu

Jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia Simu

Pesa hapa unaipata kwa jinsi gani? au naweza kulipwa vipi? Gusia tu hata kidogo mkuu
Kwa kuweka matangazo, kila mtu akitumia tu website yako na kuwasha notification unalipwa.
 
Karibu kwenye Maujanja siku ya leo nitaenda kushare na wewe njia rahisi na ya haraka ya kutengeneza website ya muziki bure kwa kutumia smartphone yako. Njia hii ni nzuri sana na itakusaidia kumiliki website bila kutumia gharama yoyote, kumbuka hii ni awamu ya kwanza ya video hii ili kujua zaidi hakikisha una subscribe nitaenda kuonyesha jinsi ya kuweka tovuti hii kwenye Google pamoja na kuweka Matangazo.

Tovuti hii inaweza kutafuta nyimbo yenyewe kupitia mtandao na huna haja ya kuweka nyimbo ya aina yoyote. Pia haitumi database hivyo usiwe na wasiwasi kwani pia tovuti hii haifadhi chochote kwenye server za aina yoyote.



LINK MAALUM

1. Download File la MUZIKI Hapa

2. Tovuti ya Infinityfree Hapa

3. Tembelea tovuti ya Google kupata YouTube API

4. Website Niliyotengeneza kwa kutumia Njia hii
mkuu mbona umetuacha hewani,
nahitaji kujua jins ya kuweka code za matangazo ya popads kwenye hiyo website
 
Mkuu mi nataka kuwa na entertainment website ya kulipia sio ya bure,itakayokuwa na nyimbo nitakazozidownload mimi mwenyewe ili watakaoitembelea waweze kuzidownload,nijiandae kwa shilingi ngapi?
Nalog off
Unauliza swali alafu unakimbia(log off),hii maana yake nini
 
Back
Top Bottom