Haina ufundi mkubwa ...baada ya maandalizi yote ni kuchemsha tu kidogo na viungo vichache kama hoho karoti na majani ya kitunguu maji bila kusahau vinega kwa mbali na chumvi kidogo .kumbuka si kila vegetable inafaa kwa soup
maandalizi yapi hayo? hebu tuelezee step moja baada ya nyingineHaina ufundi mkubwa ...baada ya maandalizi yote ni kuchemsha tu kidogo na viungo vichache kama hoho karoti na majani ya kitunguu maji bila kusahau vinega kwa mbali na chumvi kidogo .kumbuka si kila vegetable inafaa kwa soup
maandalizi yapi hayo? hebu tuelezee step moja baada ya nyingine
Kesho nafaifanya hii
Jamani , naomba nami kujua namna ya kutengeneza kitu kunaitwa "" gulashi""
kwa yeyote anayejua .
Its gulasch nakuekea soon usijali
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Its gulasch nakuekea soon usijali
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sio kweli ni goulash.Its gulasch nakuekea soon usijali
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
au ni gullam?Vipi mkuu mbona miaka imekatika hizo step za kupika gulash hujaziweka hapa