Jinsi ya kutengeneza Tomato sauce

Ukweli ni kwamba vifungashio ni tatizo, nilitafuta vifungashio vya wine, nilienda hadi SIDO Mwanza, wakataka kunipatia chupa bila mifuniko - ikawa kiwazo - nikaachana na hiyo shughuli ya kutengeneza wine.
Sasa linapokuja suala la Tomato, naona vifungashio vitanieletea shida tena!
 
Nimependa sana somo asante,hata Mimi neno rangi limenisumbua ila nashukuru nimeelewa.

Hapa utusaidie au kama Kuna MTU anafahamu taratibu na gharama TFDA,TBS,TRA niliwahi pata changamoto kwenye bidhaa za vyakula usindikaji nafaka/unga nilipokua natafuta Soko kwenye supermarket niliambiwa niwe na TIN,TFDA,TBS approval ,ukweli kwa wajasiriamali wadogo ni changamoto,sijui hii mkuu imekaaje .
 
Wakati unaanza usiende kwenye super market, anza na wauzaji wadogo wadogo wa mitaani ... business ikikubali ndo uanze utaratibu wa kusajiriwa.
 
Nashukuruni kwakuelewa somo langu vyema
Naimani mungu atabariki kazi zamikono yangu nayenu

Kwaku share aidia nanyi masikini wenzangu tuweze kujikwamua nasisi

Naomba niwaelekeze jambo kwakua ninyi mnaanza haina haja ya kuanza na huko supermarket kwanza pata wakatisha tamaa mapema

Ushauri mnaweza kwenda katika vibanda vya chips vilivyopo karibu nanyi nakuweka oder ya kuwapelekea mzigo wenu

Iliuwateke kirahisi
Kwanza fanya uchunguzi ujue wananunua bei gani
Litatano ya dumu latomato
Ikiwa labda wananunua 6000
Basi ww punguza 500 hapo

Itasaida kuwashawishi nakuweza kupata order nyingi zaidi

Biashara itakapo changanya sawa waweza fata taratiby bidhaa yako ikajulikana kisheria
 
Wakati unaanza usiende kwenye super market, anza na wauzaji wadogo wadogo wa mitaani ... business ikikubali ndo uanze utaratibu wa kusajiriwa.
Ni kweli kabisa, wajasiriamali wengi wanakimbilia kupeleka bidhaa zao masupermarket huku wakiacha maduka madogo mitaani ambako ndiko kwenye walaji wengi...
 
Nashukuruni kwakuelewa somo langu vyema
Naimani mungu atabariki kazi zamikono yangu nayenu

Kwaku share aidia nanyi masikini wenzangu tuweze kujikwamua nasisi

Naomba niwaelekeze jambo kwakua ninyi mnaanza haina haja ya kuanza na huko supermarket kwanza pata wakatisha tamaa mapema

Ushauri mnaweza kwenda katika vibanda vya chips vilivyopo karibu nanyi nakuweka oder ya kuwapelekea mzigo wenu

Iliuwateke kirahisi
Kwanza fanya uchunguzi ujue wananunua bei gani
Litatano ya dumu latomato
Ikiwa labda wananunua 6000
Basi ww punguza 500 hapo

Itasaida kuwashawishi nakuweza kupata order nyingi zaidi

Biashara itakapo changanya sawa waweza fata taratiby bidhaa yako ikajulikana kisheria
Asante mkuu
 
Yafuatayo Ndiyo mahitaji ya kutengeneza nyanya chanzo.
1. Nyanya kilo 1.
2. Vitunguu maji viwili.
3. Vinegar vijiko 3 vya chai.
4. Sukari vijiko 2 vya chai.
5. Chumvi kijiko Kimoja cha chai
6. Maji ya moto Kikombe Kimoja cha chai.
7. Mafuta ya Kula vijiko 7 ya vyakula.

Haya Ndiyo mahitaji ya kutaka kutengeneza nyanya souce, Hata hivyo Kama Unataka kutengeneza Zaidi Ya Hapo unatakiwa kuongeza uwiano wa mahitaji Hayo.

JINSI YA KUTENGENEZA nyanya SOURCE.

HATUA YA KWANZA.
a) Menya Nyanya Rangi vitunguu kisha vikate vipande vidogo vidogo.

b) Tumia Brenda Kusaga mchanganyiko Wako.

c) Anza kuweka malighafi namba 1 Hadi namba 4 katika brenda Yako kutokana Rangi uwiano (uwiano) uliopewa Hapo Juu. Saga to dakika Kadhaa Hadi Uone imetokea rojo Laini.

HATUA YA PILI.
a) Tumia sufuria yenye Nafasi kupika Mseto Huu.

b) Weka sufuria Yako jikoni tia mafuta ya Kula acha yachemke kisha mwagia Mseto Wako Rangi kisha uanze kukoroga to dakika 30 kuelekea Upande Mmoja huku ukichemka.

c) Baada ya Hapo epua Mseto Huo utakuwa Tayari imeshakuwa nyanya funga Vizuri Rangi kisha Peleka Sokoni.

Mpaka kufikia Hapo Wewe Tajiri, Rangi mafanikio makubwa ambayo yatakuwa Upande Wako endapo utakuwa umeamua kuondokana Rangi umaskini to Ushauri wa Njia ya kutengeneza Vitu mbalimbali Kwa Ajili ya kuuza.
c769e32ac2a5386dd68706a490247222.jpg

Kama mtakuwa tayari kupata ujuzi mbali mbali Ninamna gani waweza kujitajirisha kwa

Kutengeneza bidhaa mbali mbali nitasoma comment zenu nanitakuwa nikitoa darasa huru asante.
Njia ipi naweza kutengeneza tomatoes paste?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom