Ahaa kama kupika bread ile wanaita skonsi eeh?! ThanxUnaweza kukaanga au unazipanga kwenye sufuria na kuzipalia mkaa kama wali wa mkaa.
Nisikufiche mimi huwa ninanunua wrappers kwenye maduka ya wachina. Wataalamu huwa wanatengeneza kama chapati lakini hupaki mafuta.
Zina kazi ndio maana huwa nikipika sambusa bora nikanunue wrappers kuliko nitengeneze mwenyewe.Nisikufiche mimi huwa ninanunua wrappers kwenye maduka ya wachina. Wataalamu huwa wanatengeneza kama chapati lakini hupaki mafuta.
Asante sana
spring rolsi ni chakula kizuri cha Kichinašnapenda sana kula rolsi wakati ambapo inafika sikukuu ya mwaka mpya ya Kichina(pia inayoitwa sikukuu ya spring)Mahitaji
Viazi mbatata 4
Cabbage 1/2
Carrot mbili
Vitunguu maji viwili
Pilipili ukipenda
Chumvi
View attachment 1104443
Jinsi ya kupika,
Viazi vikate vidogo sana
Kata mboga zote
Weka mafuta kwenye stir frayer
Anza kukaanga vitunguu, vikianzavkubadilika rangi weka mboga viazi Katanga kwa dakika tano weka mboga nyingine.
Cabbage likianza kushuka chini okoa.
Acha vipoe kwanza wakati unakanda unga wa chapati za kufungia.
Ukisha funga weka kwenye oven kwa dakika 10.
Unaweza kuchanganya cabbage na nyama ya kuku hasa chicken breast au beef.
pia mnaweza kutumia nyama na mboga mbalimbali k.m karoti, kabeji, uyoga n.kMahitaji
Viazi mbatata 4
Cabbage 1/2
Carrot mbili
Vitunguu maji viwili
Pilipili ukipenda
Chumvi
View attachment 1104443
Jinsi ya kupika,
Viazi vikate vidogo sana
Kata mboga zote
Weka mafuta kwenye stir frayer
Anza kukaanga vitunguu, vikianzavkubadilika rangi weka mboga viazi Katanga kwa dakika tano weka mboga nyingine.
Cabbage likianza kushuka chini okoa.
Acha vipoe kwanza wakati unakanda unga wa chapati za kufungia.
Ukisha funga weka kwenye oven kwa dakika 10.
Unaweza kuchanganya cabbage na nyama ya kuku hasa chicken breast au beef.
ni kweli unaweza kutumia sweet peppers, lakini Wachina hatupendi kuzitumiašVia I, sweet peppers, njegele vyote vinafaa
ni kweli unaweza kutumia sweet peppers, lakini Wachina hatupendi kuzitumia
Dni kweli unaweza kutumia sweet peppers, lakini Wachina hatupendi kuzitumia