Wakuu naomba msaada jinsi ya kutengeneza hiyo acount na jinsi inavyo fanya kazi. Natanguliza shukran
Kila mtu akijua hii ndo source ya PayPal kuiblock TZ
case za kuibiwa zitaongezeka hadi tutakosa hii kitu
Above all kuna huduma zitaisha kutolewa mfano sitolipia tena uhuruhosting kwa 10,000/- wwakati kuna just host it kwa 2.5$ kwa mwezi ambayo ntailipia kwa PayPal
Asante kwa msaada wako lkn hope umenielewa point yangu
kaka kila manunuzi lazma uverify kwenye paypal manunuzi yoyote yatayofanyika bila idhini yako ni haki ya paypal kukulipa. sidhan kama kuna mtu kapata tatizo tz kwa kuibiwa
point yangu ni kuwa Bank kama NBC hauitaji kuja formu kupata hii service
Kwa maneno mengine nikiokota card au just kuona details za NBC au UBA cards etc basi nafyeka hela yote
Matokeo yake aliyeibiwa hela ataenda kushitaki hela imepotea wakitrace zimekatwa PayPal ...mteja hajawai kutumia hivo bannk itaingia wajibu wakufanya contacts na PayPal...na case zikiwa nyingi basi PayPal wataiona TZ haifai kupokea huduma hii
Above all hii haikuwa point kubwa yangu....Unafikiri Chief Mkwawa kila mtanzania kimiliki Paypal haitokuwa chaos as far as buz inahusika?
Mfano mtu juzi kanunua smartTV from eBay at 700$ wakati bongo zipo nyingi tuu
Ninachokimaanisha sio wote wawe na PayPal kuna biashara zitagota kabisa

Wengi hawajui paypal inavyofanya kazi, si kwamba kwa vile umechukua card ya mtu hivyo unaweza kuifungulia account ya paypal. Kabla ya kuitumia paypal wanadeposit senti kadhaa kwenye account yako then unatakiwa uwaeleze ni kiasi gani wamedeposit(verification). Sasa kama ulikuwa umechukua card bila kuwa na access ya account husika huwezi itumia. Pili hili swala la kuibiwa ni kosa la mtumiaji, ebay wanakushauri transactions lazima uziprocess kupita ebay si nje kwenye website zingine.
Nimekupata vizuri sana mkuu, itabidi NBC waige mtindo wa CRDB na pili kwanini unadhani itakuwa shida ikiwa kila mtu atakuwa na paypal account, business gani inahusika hapo?.
huyo aloibiwa alete bank statement tuone
men that's a bit selfish of you, paypal or not your account protection is in your own hands.
Wengi hawajui paypal inavyofanya kazi, si kwamba kwa vile umechukua card ya mtu hivyo unaweza kuifungulia account ya paypal. Kabla ya kuitumia paypal wanadeposit senti kadhaa kwenye account yako then unatakiwa uwaeleze ni kiasi gani wamedeposit(verification). Sasa kama ulikuwa umechukua card bila kuwa na access ya account husika huwezi itumia. Pili hili swala la kuibiwa ni kosa la mtumiaji, ebay wanakushauri transactions lazima uziprocess kupita ebay si nje kwenye website zingine.
Utaniona selfish well and good ila niachokiongea naona mbele
Imagine kila mtumiaji wa Internet anajua kutumia PayPal ...hauoni hiyo itakuwa CHAOS tayari
Sio watu wote ni wema kuna bank ni wazembe mm CRDB master card yangu ilikuwa enabled bila formu kupitishwa je assume mtu aiyeelewa mambo ya PayPal na mtu akabahatika trace details za card akajaribu fungua PayPal na akafyeka hela yangu?
Hii inawork kwa bank nyingi e,g NBC,Banc ABC etc yaani ziko enabled kufanya Transactions online bila kufanya maombi
Naona umeenda mbali, swala tunalo ongelea ni paypal siyo website zingine. Ungekuwa karibu ningekupa ujaribu siyo card zote zinaenda hivi hivi tuu, kadi zingine kabla ya kuprocess payment inakuomba address ya mhusika sijui utaitoa wapi? Mfano hapa nikipoteza kadi ya banki nipo reliable kwa $50.00 hata kama huyo aliyeipata katumia maelfu uliyokuwepo nayo, wanachofanya wanafuatilia madukani ulikokuwa ukitumia hiyo card. Na kadi zingine ukiwa nje ya eneo lako la kawaida ukatumia matumizi ambayo hayajazoeleka ina denied hiyo transaction mpaka upige simu au wenyewe wakupigia.Na sio lazima nikuibie hela kutumia PayPal kuna website zinakubali Credit card kama alibaba hivo mm nikipata details zako tu nimekumaliza kama hauamini tufanye jaribio
Sitoitaji hata kutumia PayPal bali website zinazotumia VISA/MAESTRO/Master card
Naona umeenda mbali, swala tunalo ongelea ni paypal siyo website zingine. Ungekuwa karibu ningekupa ujaribu siyo card zote zinaenda hivi hivi tuu, kadi zingine kabla ya kuprocess payment inakuomba address ya mhusika sijui utaitoa wapi? Mfano hapa nikipoteza kadi ya banki nipo reliable kwa $50.00 hata kama huyo aliyeipata katumia maelfu uliyokuwepo nayo, wanachofanya wanafuatilia madukani ulikokuwa ukitumia hiyo card. Na kadi zingine ukiwa nje ya eneo lako la kawaida ukatumia matumizi ambayo hayajazoeleka ina denied hiyo transaction mpaka upige simu au wenyewe wakupigia.
So do you mean to tell me bila Paypal kama Kadi iko verified kushop online siwezi kununua. Absolutely not, why isn't the 'chaos' you keep repeating happening yet, nini kitafanya mtu akiingia paypal aibiwe ila now asiibiwe ilimradi kadi iko enabled, lemmi tell u something, paypal walii Block kadi yangu zamani ila it hasn't stopped me from buying things on line, I'm gonna say this again Protection of your account and money in general is in yo own hands, acha watu wafaidi safety offered by paypal man