Kama wapo angeweza kuongea na mke wake tu akaomba namba akawashughulikia mwenyewe, hakuna kitu hata kimoja kinacho-justify kumspy mke wako. Yeye kama anataka uwazi wakubaliane ku-share kila kitu na mke wake, zipo apps wanaweza ku-sync, kila kinachoingia kwa mmoja kiingie kwa wote, ila kumuwekea kisirisiri ni offense.