Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Aug 13, 2016 #21 Mjamaa1 said: Ishi ukweli utakuwa huru. Click to expand... Hahaha lukesam said: Sasa ween Unataka kunidanganya kwenye picha..nikitaka kuonana ana kwa ana na wewe utaimeza hiyo application?? Click to expand...
Mjamaa1 said: Ishi ukweli utakuwa huru. Click to expand... Hahaha lukesam said: Sasa ween Unataka kunidanganya kwenye picha..nikitaka kuonana ana kwa ana na wewe utaimeza hiyo application?? Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Aug 14, 2016 #22 Aiseee!
ween JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 414 Reaction score 129 Aug 18, 2016 Thread starter #23 Nn Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
dexterous JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,037 Reaction score 3,145 Aug 18, 2016 #24 Asee njoo mi natanua bila applctin
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Aug 18, 2016 #25 Ukishatanua hips share na sie hizo picha tukuone ulivyokuwa
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,717 Reaction score 44,112 Sep 1, 2016 #26 ween said: Hi Habar zenu mmi naomba mnisaidie jina la application nzur inayotumika kwenye sm kuedit picha za kwa kutengeneza figure yaan hips tumbo na makalio Click to expand... Kuna Mwanaume anaenda kuumizwa hapa kwa WhatsApp,teh teh teh kweli Mjini shule.
ween said: Hi Habar zenu mmi naomba mnisaidie jina la application nzur inayotumika kwenye sm kuedit picha za kwa kutengeneza figure yaan hips tumbo na makalio Click to expand... Kuna Mwanaume anaenda kuumizwa hapa kwa WhatsApp,teh teh teh kweli Mjini shule.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,717 Reaction score 44,112 Sep 1, 2016 #27 lukesam said: Sasa ween Unataka kunidanganya kwenye picha..nikitaka kuonana ana kwa ana na wewe utaimeza hiyo application?? Click to expand... Ukiona hivyo demu kasema yupo mbali na jamaa,na jamaa anataka atumiwe picha kwanza ili ajiridhishe kabla hajatuma nauli kwa demu,so demu anafanya maandalizi ya picha hapo.
lukesam said: Sasa ween Unataka kunidanganya kwenye picha..nikitaka kuonana ana kwa ana na wewe utaimeza hiyo application?? Click to expand... Ukiona hivyo demu kasema yupo mbali na jamaa,na jamaa anataka atumiwe picha kwanza ili ajiridhishe kabla hajatuma nauli kwa demu,so demu anafanya maandalizi ya picha hapo.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,717 Reaction score 44,112 Sep 1, 2016 #28 Ikifika zamu ya kutanua Marinda usipate shida mtafute Mzibua Choo.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,368 Sep 1, 2016 #29 usisahau kuleta mrejesho kwa njia ya picha
Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,466 Reaction score 13,031 Sep 1, 2016 #30 Kazi kweli kweli.
venossah JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 2,744 Reaction score 3,997 Sep 3, 2016 #31 Mi naona hips hazitanuliwi Ni jinsi ulivyozaliwa,km kwenu zipo zipo tu wala usijichoshe. Wanaume watatutoa roho wallah
Mi naona hips hazitanuliwi Ni jinsi ulivyozaliwa,km kwenu zipo zipo tu wala usijichoshe. Wanaume watatutoa roho wallah
ween JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 414 Reaction score 129 Sep 3, 2016 Thread starter #32 Haha mna visa
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,355 Reaction score 13,887 Sep 3, 2016 #33 ween said: Ndo nn Click to expand... Usiishi kwa kuigiza
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,355 Reaction score 13,887 Sep 3, 2016 #34 ween said: Haha mna visa Click to expand... Kuna dawa fulani nipm nikwambie
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Sep 21, 2016 #35
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 Oct 2, 2016 #36 hakuna haja ya kuedit picha Njoo nikuuzie uwe nazo muda wote
sinafungu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2010 Posts 1,527 Reaction score 868 Oct 5, 2016 #37 ween said: Hi Habar zenu mmi naomba mnisaidie jina la application nzur inayotumika kwenye sm kuedit picha za kwa kutengeneza figure yaan hips tumbo na makalio Click to expand... ukitaka uzuri wa kununua ni lazima utadhurika hii ndio falsafa yake. mfano mwepesi MAREHEMU MICHAEL JACKSON PAMOJA NA HELA ZAKE ILISHINDIKANA.
ween said: Hi Habar zenu mmi naomba mnisaidie jina la application nzur inayotumika kwenye sm kuedit picha za kwa kutengeneza figure yaan hips tumbo na makalio Click to expand... ukitaka uzuri wa kununua ni lazima utadhurika hii ndio falsafa yake. mfano mwepesi MAREHEMU MICHAEL JACKSON PAMOJA NA HELA ZAKE ILISHINDIKANA.
Mr Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 1,670 Reaction score 767 Oct 5, 2016 #38 Da hawa wadada wanahangaika sio kidogo