Ni namna gani ya kupata kazi wakuu? hasa kwa sasa ambao hatuna wakutushika mikono kwenye field zetu.
Simjui mtu yeyote kwenye makampuni na sina ndugu huko,mimi ni mtu wa singida,manyoni nimemaliza telecom eng. mwaka huu ,ngazi ya degree GPA 3.4,tokea nimemaliza mwezi july nilikua home singida nimerudi mjini kutafuta kazi yoyote itakayonfanya niishi mjini maana hali tete,sielewi nianzie wapi? Wenye ujuzi wa haya mambo tuambiane
Thanks
mpe nafasi kama anaweza msaidie hata kama hajasoma UDSMMkuu ni tele ya UDSM au wapi?
Ni namna gani ya kupata kazi wakuu? hasa kwa sasa ambao hatuna wakutushika mikono kwenye field zetu.
Simjui mtu yeyote kwenye makampuni na sina ndugu huko,mimi ni mtu wa singida,manyoni nimemaliza telecom eng. mwaka huu ,ngazi ya degree GPA 3.4,tokea nimemaliza mwezi july nilikua home singida nimerudi mjini kutafuta kazi yoyote itakayonfanya niishi mjini maana hali tete,sielewi nianzie wapi? Wenye ujuzi wa haya mambo tuambiane
Thanks
Thanks sophy naho....ha ,hopen ushanijua mi nani..hmm, then I must know u Menison, anyways as ur ex-classmate, nakushauri usikate tamaa.It's hard kukwambia jinsi ya kutafuta kazi...kila mtu atakupa basics tu, cha msingi mtangulize Mungu, andaa CV na cover letter vizuri, wasiliana na classmates wengine wakupe michongo ya kazi. Kuna classmates wengine wanafanya kazi zao wenyewe..mostly coders, watafute atleast uwe unakitu cha kufanya sahvi while u r still waitin to get employed.
Kujiajiri mwenyewe inaweza kua ni ngumu kama capital hauna..na busines idea nzuri hauna.
Kama unaweza kujiendeleza kimasomo ni vizuri pia.
Yah, dnt lose hope..keep on fighting mtu wangu.
Thanks sophy naho....ha ,hopen ushanijua mi nani
pole mkuu. ajira ndo zilivyo. mi tangu 2011 nafundisha na nimesoma b.com udsm na gpa 3.7 hons bt nkiapply kazi siitwi. one dy mola atasikia kilio chetu
udsm .....................