Jinsi ya Kusafirisha bidhaa Nairobi Dar

Jinsi ya Kusafirisha bidhaa Nairobi Dar

Grena

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
656
Reaction score
1,557
Habari zenu. Msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kusafirisha bidhaa kutoka Nairobi hadi Dar. Mabasi yakawaida hayaruhusiwi kubeba mzigo wa biashara ila kuna mabasi special ya mzigo yanaishia Arusha, nataka ya direct kama kunauwezekano
 
Kuna kitu hakipo sawa au uelewa wangu. Umesema mabasi hayaruhusiwi kubeba mzigo wa biashara?
 
mabasi ya abiria Dar Express, Saibaba, Modern coast na mengineyo hayakubali mzigo wa biashara unless ubebe kama begi... Nadhan sababu mkifika boda mizigo inachukua muda sana kuanzia kulipa ushuru na kukaguliwa hawataki kupoteza muda
 
Hapo nimekuelewa. Nilidhani serikali ndio ilipiga marufuku. Kama mzigo wako unafika angalau tani 10 na hauzidi tani 15. Ipo gari mara moja kwa week ila mzigo lazima uupeleke mwenyewe pale Langata ndo gari inapakilia
 
Gharama zao za usafirishaji ziko aje!?
 
Back
Top Bottom