Jamani naombeni msaada kuna utaratibu gani ukitaka kurudia mtihani Ku reseat mtihani form four na inabidi ujisajili kuanzia masomo mangapi kw a kufanya mtihani necta.
taratibu za kufanya wewe ni kuchagua kituo na hapo wao watafanya kila kitu utapeleka namba yako ya awali na pia utalipia hela ya kituo na mtihani nazan wanaanza kuanzia masomo mawili maybe imebadilika

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.