Jinsi ya kuroot simu za Android

Katika watu niliowaelewa hukusu kuroot cm ni wewe.angalau natamani kuiroot cm yangu. Ila naogopa kasije kakazima kabisa. Natumia TECNO W3???INAWEZEKANA
 
Mkuu muonekano wa maandishi nabadilishaje?
 
Mkuu vp Simu yangu Natumia LENOVO k4 Note Vibe..... Nilipo Inunua Ilikuja na Lolipop ila nika i Update to Marshmallow Sasa Nataka Ni ROOT Vp ntafanikiwajeee
 
Mimi nime root simu yangu Huawei G play mini leo kwa kufuata maelekezo ya Athanasi. Mara ya kwanza ilinikatalia ,lakini nilipijaribu kwa mara ya pili kwa umakini zaidi ,imenikubalia. Nili download King root na ikiwa successful na kwenye root checker ikanipongeza.
 
mashallow mpaka PC


Sio mashomallow zote, kuna zile zenye rom recovery, hawa c lazima watumie PC,
1.download superISO kutoka play store
2.fanya backup incase of anything japokuwa siyo lazima sana
3.zima simu
4.bonyeza kidude cha kupunguzia sauti, power button na home button kwa pamoja/na kwa baadhi ya cmu ukiwa umebonyeza power button zinakuja option 4,mojawapo imeandikwa recovery, chagua hyo
5.utakuwa upo kwenye rom recovery mode
Where u can press button ya download
6.itakupeleka kwenye sehemu ambayo utaiona superISO uliyoi download kwenye namba 1,ibonyeze then install

Hapo unakuwa umesharoot cmu yko ya mashomallow 6.0 na updatable mashomallow 6.0.1 bila kusahau nougat 7.0 na updatable 7.0.1 bila PC
 
Kwakutumia Software gan Coz kwangu inagoma
hiyo njia nayo nzuri sema simu na zenyewe zinatofautiana
 
Mkuu mm nimeingia setting,android version nimekuta 5.1 natumia Tecno J5 VP naweza kuendelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…