Jinsi ya kupromote nyimbo redioni

Jinsi ya kupromote nyimbo redioni

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,696
Habarini ndugu zanguni, katika kujaribu kutafuta what is going on in my life, nimefanikiwa kuanzisha kundi jipya la muziki wa kizazi kipya. Muda huu kundi linajiandaa kurekodi singo yake ya kwanza kwenye studio moja ya kisasa hapa mjini. Malengo yangu ni baada ya singo hiyo kutoka ninataka kuifanyia promotion ya kutosha kwenye vituo mbalimbali vya redio nchini. Naomba kujua kutoka kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na masuala ya kuporomote nyimbo redioni, gharama za kupromote single moja katika kiwango ambacho kitaifanya kuwa hit single hapa Tanzania na ikiwezekana Afrika Mashariki..Kitu cha pili ni watu gani ninao paswa kuwaona i mean ni kituo gani cha redio wanao weza kushirikiana na mimi katika kufanikisha lengo langu hili. Ni matumaini yangu mtanipa taarifa sahihi. Asanteni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom