Akili Sina
JF-Expert Member
- Jan 18, 2018
- 303
- 2,250
Jamani naombeni mnijuze jinsi ya kupost video huku...... Nimejaribu nimeshindwa.
Hizo icon zipo wapi mkuuClick Icon ya "Film" (ya 5 toka kulia row ya chini).
Ukisha-click hiyo icon na kufunguka, utaona sehemu unayotakiwa ku-paste video link.
Uki-paste video link; click "embed"
Icon nimeiona.... Sasa hiyo link ya video naitoa wapi.... Nsaidie mwaya kakaanguClick Icon ya "Film" (ya 5 toka kulia row ya chini).
Ukisha-click hiyo icon na kufunguka, utaona sehemu unayotakiwa ku-paste video link.
Uki-paste video link; click "embed" then "Send" or "Save Changes"
Tuambie kwanza wewe jinsia gani ?Jamani naombeni mnijuze jinsi ya kupost video huku...... Nimejaribu nimeshindwa.
He yamekuwa hayo..... Haya mie shemale.Tuambie kwanza wewe jinsia gani ?
He yamekuwa hayo..... Haya mie shemale.
Sehemu unayo-type angalia bar ya juu yake! Kwenye hiyo bar, utaona vi-icons mbambali including hiyo Film iconHizo icon zipo wapi mkuu
Hahaa! The way ulivyoandika thread it's like unafahamu jinsi ya kupata link lakini unashindwa tu ku-post!Icon nimeiona.... Sasa hiyo link ya video naitoa wapi.... Nsaidie mwaya kakaangu
Video ya nyimbo nimeipendaHahaa! The way ulivyoandika thread it's like unafahamu jinsi ya kupata link lakini unashindwa tu ku-post!
Labda nikuulize swali moja... ulitaka ku-post video ya nini ili tuanzie hapo!
Bila shaka from YouTube and if YES; the question is: unatumia simu au laptop? Kama unatumia simu, nenda kwenye video husika kisha nimbie kama unaiona SHARE icon (kimshale kinaelekeza kulia... 3rd icon from top right corner)Video ya nyimbo nimeipenda
Video ambayo ipo kweny gallery ya simu ina link ya kukopy na kupaste mkuu??[emoji32][emoji32][emoji32]Click Icon ya "Film" (ya 5 toka kulia row ya chini).
Ukisha-click hiyo icon na kufunguka, utaona sehemu unayotakiwa ku-paste video link.
Uki-paste video link; click "embed" then "Send" or "Save Changes"
Chura ipo?He yamekuwa hayo..... Haya mie shemale.
Heeeh nimeweza..... Asante mwaya kaka angu.... MwaaaaaaaBila shaka from YouTube and if YES; the question is: unatumia simu au laptop? Kama unatumia simu, nenda kwenye video husika kisha nimbie kama unaiona SHARE icon (kimshale kinaelekeza kulia... 3rd icon from top right corner)
I doubt! Labda ui-upload YouTube kupata link! Unfortunately, haiwezi kuwa straightforward class kv hapa nilipo natumia simu! Lakin kama tayari unayo YouTube channel basi ni rahisiVideo ambayo ipo kweny gallery ya simu ina link ya kukopy na kupaste??[emoji32][emoji32][emoji32]
Try to behave...Chura ipo?
Haahaha! Sa' hiyo "Mwaaaaaa" ni busu la shavuni au la mdomoni?Heeeh nimeweza..... Asante mwaya kaka angu.... Mwaaaaaaa
Akili Sina![emoji124][emoji124][emoji124]Try to behave...