Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Mimi mkate wa kumimina ndio unanikataa maana nikipika unatoka boko.Hello
Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku
Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa nimechanganya iriki lakini nilitumia maji ya mchai chai kubrend
Baada ya hapo nikaanza kuvipika
View attachment 3517179
Huu ndio mlo
Wa usiku na chai ya maziwa siku imeisha ivyo sio kila siku kununua pika tu mwenyewe
Uzhajaribu kubalance motoMimi mkate wa kumimina ndio unanikataa maana nikipika unatoka boko.
Natumia mchele wa V.I.P
Uko vizuri mkuuHello
Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku
Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa nimechanganya iriki lakini nilitumia maji ya mchai chai kubrend
Baada ya hapo nikaanza kuvipika
View attachment 3517179
Huu ndio mlo
Wa usiku na chai ya maziwa siku imeisha ivyo sio kila siku kununua pika tu mwenyewe
Huku kwetu vitumbua tunakula na ugali na mabo yanakuwa sawa sqwia kabisaHello
Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku
Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa nimechanganya iriki lakini nilitumia maji ya mchai chai kubrend
Baada ya hapo nikaanza kuvipika
View attachment 3517179
Huu ndio mlo
Wa usiku na chai ya maziwa siku imeisha ivyo sio kila siku kununua pika tu mwenyewe
🤣🤣 nita yata futaambao tunapenda vitu vizito uje na uzi wa kupika bumunda, maana toka nitoke mbeya siyaoni hayo madude
Natumia oven so moto sio shida maana ukiweka 180C-200C unatosha kabisa kuokaUzhajaribu kubalance moto
Ges moto una wekaUko vizuri mkuu
Umepikia kwenye gas au mkaa?
Vipi moto unatakiwa wa namna gani?
Muhimu tumbo li shibeHuku kwetu vitumbua tunakula na ugali na mabo yanakuwa sawa sqwia kabisa
Sasa una kosea wapi? Au una uweka mwepesi sanaNatumia oven so moto sio shida maana ukiweka 180C-200C unatosha kabisa kuoka
Yeah. Sema mkuu umenipa darasa sana upande wa mapishi nimekuwa nikiingia jikoni wife anatulia kwanza. Hongera sanaMuhimu tumbo li shibe
Asante kaka siku moja moja nao wapunzikeYeah. Sema mkuu umenipa darasa sana upande wa mapishi nimekuwa nikiingia jikoni wife anatulia kwanza. Hongera sana
SahihiAsante kaka siku moja moja nao wapunzike
SawaLeo Mbona kama picha ya mtandaoni
Tuone hatua kwa hatua
Hata yangu afadhali kwenye chapati za mayai
View attachment 3517189
Sikuwa na mpangoLeo Mbona kama picha ya mtandaoni
Tuone hatua kwa hatua
Hata yangu afadhali kwenye chapati za mayai
View attachment 3517189
Hata sielewi kwa kweli.Sasa una kosea wapi? Au una uweka mwepesi sana
Huu wa mbeyaHata sielewi kwa kweli.
Wewe unatumia mchele upi kwa hicho kitumbua?