πππKaka Mimi kukunyima wewe pilau siwezi jiandae Kwa mualiko kakaangu kipenziKumbe watu mnaweza mpaka kupika pilau la nazi,hamsemi.. kumbukeni wimbo wa q chief anachokipata anagawana na wenzie. Ila sio nyie wakina mama cha uchoyo, mnaona mkitukaribisha sisi ndugu zenu tutanenepa kwa hayo mapilau yenu ya nazi.
ππππ nakusalimu ndugu yangu kipenzi.
Nashukuru, nafurahi kujua nipo kwenye list ya wageni waalikwa kwenye mnuso.πππKaka Mimi kukunyima wewe pilau siwezi jiandae Kwa mualiko kakaangu kipenzi
Wizo mate yamenitoka mwenzio πππNatumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu
Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze
MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani vitano.
5)pilaumasala
6)mafuta ya kupikia.
7)Tui la Nazi kulingana na mchele wako
8)iriki na binzari nyembamba,(Huwa natumia Ile halisi ili kuongeza ladha na harufu nzuri kwenye chakula)
JINSI YA KUPIKA
1)bandika sufuria jikoni weka mafuta ya kula kidogo sana kwaajili ya kukaanga kitunguu tu yakipata moto weka kitunguu maji kaanga kikianza kulegea na kubadilika rang weka kitunguu swaumu kaanga hadi viwe rangi ya brown
2) Weka pilau masala pamoja na binzari nyembamba na iriki changanya kidogo
Kisha weka Viazi na nyama
3) Changanya Kwa dakika 3 Kisha weka Tui la Nazi kiasi kulingana na mchele wako weka chumvi koroga uchanganye vizuri kisha acha Tui lichemke
4) Vikichemka weka mchele wako koroga uchanganye funika subiri ukauke
5) Ukishakauka punguza moto acha kidogo Kisha utageuza utaacha Tena kidogouive vizuri, pilau itakuwa tayari
Kinachofata ni kuandaa kachumbari na soda πππ
Karibuni Kwa nyongeza na maoni
View attachment 2948308
View attachment 2948310
Mi na jiko wapi na wapi nisije kutoa boko bure π€£π€£π€£π€£My Wii niwie radhi hebu toa kitu Cha tofaut kesho mpenz wajilambe
Zuri kwa pasakaNatumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu
Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze
MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani vitano.
5)pilaumasala
6)mafuta ya kupikia.
7)Tui la Nazi kulingana na mchele wako
8)iriki na binzari nyembamba,(Huwa natumia Ile halisi ili kuongeza ladha na harufu nzuri kwenye chakula)
JINSI YA KUPIKA
1)bandika sufuria jikoni weka mafuta ya kula kidogo sana kwaajili ya kukaanga kitunguu tu yakipata moto weka kitunguu maji kaanga kikianza kulegea na kubadilika rang weka kitunguu swaumu kaanga hadi viwe rangi ya brown
2) Weka pilau masala pamoja na binzari nyembamba na iriki changanya kidogo
Kisha weka Viazi na nyama
3) Changanya Kwa dakika 3 Kisha weka Tui la Nazi kiasi kulingana na mchele wako weka chumvi koroga uchanganye vizuri kisha acha Tui lichemke
4) Vikichemka weka mchele wako koroga uchanganye funika subiri ukauke
5) Ukishakauka punguza moto acha kidogo Kisha utageuza utaacha Tena kidogouive vizuri, pilau itakuwa tayari
Kinachofata ni kuandaa kachumbari na soda πππ
Karibuni Kwa nyongeza na maoni
View attachment 2948308
View attachment 2948310
Intelligent hawez pika atakula kwa mama ntilie as usual
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu
Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze
MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani vitano.
5)pilaumasala
6)mafuta ya kupikia.
7)Tui la Nazi kulingana na mchele wako
8)iriki na binzari nyembamba,(Huwa natumia Ile halisi ili kuongeza ladha na harufu nzuri kwenye chakula)
JINSI YA KUPIKA
1)bandika sufuria jikoni weka mafuta ya kula kidogo sana kwaajili ya kukaanga kitunguu tu yakipata moto weka kitunguu maji kaanga kikianza kulegea na kubadilika rang weka kitunguu swaumu kaanga hadi viwe rangi ya brown
2) Weka pilau masala pamoja na binzari nyembamba na iriki changanya kidogo
Kisha weka Viazi na nyama
3) Changanya Kwa dakika 3 Kisha weka Tui la Nazi kiasi kulingana na mchele wako weka chumvi koroga uchanganye vizuri kisha acha Tui lichemke
4) Vikichemka weka mchele wako koroga uchanganye funika subiri ukauke
5) Ukishakauka punguza moto acha kidogo Kisha utageuza utaacha Tena kidogouive vizuri, pilau itakuwa tayari
Kinachofata ni kuandaa kachumbari na soda πππ
Karibuni Kwa nyongeza na maoni
View attachment 2948308
View attachment 2948310Mbona Prof. Janab alisema ukila pilau na soda utumbo utapasuka
Huyu mpaka aoeNdo ajifunze Sasa Jamaniπ
Mjumbe wa kudumu wa chama cha msingiKatibu wa kataa ndoa aoe thubutuπ€£π€£
Leo sijafunga Kuna maeneo mengi naenda kuvizia pilauFunga bhana ππ
Karibu sana auntyangu nitakaa na fimbo huko whatsap had kieleweke