Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,910
- 6,706
Sukari robo kikombe kwa nusu ya unga?Sukari robo kikombe kwa nusu ya unga?
Ila kuna watu mna maisha magumu sana.
Ila kuna watu mna maisha magumu sana.Sukari robo kikombe kwa nusu ya unga?
Ila kuna watu mna maisha magumu sana.
Hiyo sukari ni nyingi sana mkuu. Uhurumie mwili wako.Ila kuna watu mna maisha magumu sana.
Kivip?
Fafanua na uelezee kwa kina maisha ndo haya haya na hatuwezi kufanana!
Watu wanapenda vitamu mkuu, nakupa mfano wa popcornHiyo sukari ni nyingi sana mkuu. Uhurumie mwili wako.
Hakika masiala hayaSukari robo kikombe kwa nusu ya unga?
Ila kuna watu mna maisha magumu sana.
HatariHiyo sukari ni nyingi sana mkuu. Uhurumie mwili wako.
you're going to do it babes, na napenda vile huogopi kujaribu jamani..!
Kau kau kama kau kau π€you're going to do it babes, na napenda vile huogopi kujaribu jamani..!
Umefuata maelekezo yote mdogo wangu.??Kau kau kama kau kau π€
Yote kama kawaida lakini hali bado ni tete dadaUmefuata maelekezo yote mdogo wangu.??
Halafu huwezi amini kutakuwa na kitu kidogo sana sana unaenda nacho kinyume, ndiyo sasa bado hatuja figure out ni nini..!!Yote kama kawaida lakini hali bado ni tete dada
Hizi mambo huwa najitahidi nizizoee lakini wapi..MAHITAJI
Unga wa ngano nusu kilo
Mayai 2
Sukari robo kikombe cha chai
Chumvi kijiko kimoja cha chai
Hiliki nusu kijiko cha chai
Maji ya uvuguvugu kiasi
Mafuta ya kupikia
MATAYARISHO NA KUPIKA
Chukua bakuli kavu weka unga, kisha sukari, chumvi, hiliki na maji kiasi.
Koroga mpaka mchanganyiko wako uwe mzito.
Baada ya hapo weka mayai na ukoroge tena.
Mchanganyiko wako usiwe mzito sana au mwepesi sana.
Baada ya hapo onja kama kila kitu kimekolea.
Bandika chuma cha kupikia chapati (fry-pan) jikoni huku moto ukiwa wa wastani.
Weka nusu kijiko cha chakula cha mafuta ndani ya fry-pan kisha yatandaze.
Hakikisha chuma kinapata moto na mafuta yamechemka halafu weka upawa mmoja uji wa chapati na uutandaze mpaka uwe flati.
Subiri mpaka chapati ikauke juu kisha igeuze upande wa pili weka mafuta kijiko kimoja kikubwa cha chakula kwa upande wa chini na wa juu kisha uanze kuikandamiza kwa juu na kijiko ili iweze kuiva vizuri kwa chini.
Endelea kugeuza ukiona imebadilika rangi na kuwa ya brown itoe na uweke kwenye sahani, endelea kufanya hivyo mpaka umalize na hapo chapati zako zitakuwa tayari kuliwa.View attachment 2205208