jinsi ya kupiga pesa katika mitandao ya simu..!

kabon14

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
1,233
867
Habar wakuu,

Leo ningependa kushare nanyi njia rahisi ya kupiga pesa katka mitandao ya simu bila kukamatwa..

Hatua

1. Hakikisha Una line ya simu iliyo sajiliwa Na huduma ya kifedha mf.Mpesa ,tigo pesa n.k

2. Hakikisha unapesa yakutosha kwenye akaunti yako

3. Nenda kwa wakala ,muulize Kama anapesa Ili uweze kutoa

4. ingiza menyu ya kutolea pesa katika sim yako.

5. Toa pesa kiasi unachotaka, Kama zimo nying unaweza bakiza kias flani kwa ajili ya akiba..

N.B Kama hakuna pesa kweny akaunti yako muamala utasitishwa

Teh tehe..! Piga kazi ndugu hamna pesa rahisi kiivyo,
Mahind yamepanda bei ujue..!!
 
Huyu jamaa fanya maisha ya makuwa magumu sasa hii sijui Moja Hadi zake Hadi makanisani michango inaongezeka utasikia kapu la baba paloko Mara ujenzi na Hali yenyewe ndo hii
 
Back
Top Bottom