Jinsi ya kupata Nyumba za NHC

Jinsi ya kupata Nyumba za NHC

Nchi hii wageni ndio hupewa kipaumbele. Tukiitwa manyani tunakataa

Daaa kwelii mwanangu cha kushangazaa utaonaaa wamejazanaa wa hindiiii tuuu.wakati lengo hasa la hizi nyumba.ni kuishi watu wenye kipato cha chiniii me huwa napataga hasiraaa xanaaaa😖😖😬
 
Laki mbili per month. Vyumba vitatu vya kulala,sebure kubwa moja, baraza tatu za kupumzikia,jiko,bafu&choo Gorofa ya tatu ndio nipo .nyumba nzima ina gorofa 4. Seaview mtaa wa ruhinda karibu na aga khan hospital na mkukuta.
 
Nipe contacts zako, natafuta apartments bongo.
 
Jamani yoyote mwenye kujuaa jinsi ya kupata nyumba hiz za #nhc anijuzee maana nahitaji kupanga.lakini. sijui wapi kwa kuanziaaa....mwenye kujuaa tafadhaliii..😔

Kama nia yako ni kupata nyumba si uende kwenye ofisi zao au kuna jungu unataka kuleta kutoka muleba???
 
Daaa kwelii mwanangu cha kushangazaa utaonaaa wamejazanaa wa hindiiii tuuu.wakati lengo hasa la hizi nyumba.ni kuishi watu wenye kipato cha chiniii me huwa napataga hasiraaa xanaaaa😖😖😬

Acha ubaguzi kumbuka hizo nyumba zilikuwa za hao hao wahindi na baada ya acquisition serikali iliwaacha kama wapangaji. Nenda shekilango, keko, tandika Kama utakuta mhindi.
 
Jamani yoyote mwenye kujuaa jinsi ya kupata nyumba hiz za #nhc anijuzee maana nahitaji kupanga.lakini. sijui wapi kwa kuanziaaa....mwenye kujuaa tafadhaliii..😔

Njia pekee ya kupata nyumba za NHC hasa kwa Dar, ni kununua mkataba kwa mpangaji aliyepo! Hakuna njia nyingine usidanganywe, hakuna mtu anayehama kwenye hizo nyumba wakati anajua zinauzwa..
 
umenielewa lakini kuwa nakuuzia mkataba wangu? Kama upo tayari ni PM namba yako mm nittakucheki
 
Laki mbili per month. Vyumba vitatu vya kulala,sebure kubwa moja, baraza tatu za kupumzikia,jiko,bafu&choo Gorofa ya tatu ndio nipo .nyumba nzima ina gorofa 4. Seaview mtaa wa ruhinda karibu na aga khan hospital na mkukuta.

Nipigie 0753 33 33 30
 
Weeee kwani nani anatakaa kuzurumiwaaa na life lenyewe hiliiii😠?
 
Nenda ofisi ya NHC utapata maelezo sahihi.

Kuna baadhi miji kama Dodoma, wanatafuta wateja kwa sababu ya bei kubwa !
 
Angalizo kwa wanunuzi wa nyumba za NHC !
Usinunue nyumba kabla ya kuikagua mwenyewe kwa macho,kwa kudanganywa picha zao!
 
Back
Top Bottom