Jinsi ya kupata Nyumba za NHC

Jinsi ya kupata Nyumba za NHC

mbusage

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
447
Reaction score
123
Jamani yoyote mwenye kujuaa jinsi ya kupata nyumba hiz za #nhc anijuzee maana nahitaji kupanga.lakini. sijui wapi kwa kuanziaaa....mwenye kujuaa tafadhaliii..😔
 
Jamani yoyote mwenye kujuaa jinsi ya kupata nyumba hiz za #nhc anijuzee maana nahitaji kupanga.lakini. sijui wapi kwa kuanziaaa....mwenye kujuaa tafadhaliii..

Mkuu.......nenda ofcn kwao watakuelekeza kila kitu..........ila wahindi ni wagumu kuhama........jaribu tu.........
 
Either of the 2
uwe unamjua mtu nhc akupe mchongo au umjue ambae anaishi kwenye hizo nyumba akihama akupasie otherwise hamna muujiza utakaofanyika,ukienda kwenye ofice zao utalipia form na kuzijaza lakini utaambulia patupu
 
Unasema kweli?
 
  • Thanks
Reactions: lin
Wewe ni muhindi??I mean Gabachori.Kama ni ndio Waone CCM Jikoni.Kama siyo Potezea.
 
0754333444 wapigie. Hii namba nimeiona kwenye bango lao la mradi wa kawe
 
Either of the 2
uwe unamjua mtu nhc akupe mchongo au umjue ambae anaishi kwenye hizo nyumba akihama akupasie otherwise hamna muujiza utakaofanyika,ukienda kwenye ofice zao utalipia form na kuzijaza lakini utaambulia patupu

Nilimaliza mwaka mzima 2011 kufuatilia na nikaambulia patupu. Mwisho wa siku nikaishia uswazi buguruni nikapanga vizuri makazi na maisha yangu sasa hata hiyo nhc sijui nini hata sina mpango nayo. Rushwa, kudalaliwa, kupoteza muda na pesa kupo nje nje
 
umeona eeh utasema unafukuzia visa ya kwenda sijui wapi...i was once a victim
 
Kama unaweza kuzungusha kidogo kidogo zunguka tu finally utapata.
 
nyumba za nhc watu wana wachiaana tena unampa hela siyo bure mfano kuna jamaa yangu alipata nhc hapo shekilango ubungo kwa sh milion 8...jamaa ndiyo akampatia mikataba yake ....
nhc ni tatizo kubwa sana
 
Tatizo mnataka Nyumba za Indira Gandhi Street na Mkwepu au Tandamti, kama hakuna anaehama we unadhani utapataje nyumba mitaa hiyo, Zipo Nyumba pale Chalinze fuatilia hakuna Mizengwe.Ndugu Nehemia Kabadilisha mfumo wa kufanya kazi kwa mazoea. pale kuna BRN ( Big Result Now) msiogope
 
Hapa morogoro mjini opposite na stend ya daladala kuna ghorofa la NHC linajengwa, nadhani litakuwa kwa ajili ya biashara (fremu za maduka) ila bado ujenzi unaendelea.
Hapa vipi nikifukuzia naweza pata wakuu?
 
Back
Top Bottom